Jumamosi, 13 Desemba 2014

simba yaendeleza ubabe!!

trabicktwalbublogsport.comclubu ya simba jiji na dar es salam imeendeleza ubabe zidi ya mtan wake wa jadi young africa marufu kama yanga kwa kuichapa mbili bila katika uwanja wa taifa jiji dar es salamu na simba kuibuka bingwa katika shindana lao la mtani jembe nimara ya pili sasa simba kuwa bingwa katka shindano iko.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni