Manchester unted ya dhidi kutamba baada kuibuka na ushindi wa goli tatu zid ya mpizan wake livepool.unted imepata ushindi huo kupitia kwa forward wake hatar. wyne roony dakika ya 12 goli la pili lili fungwa na kiungo wa hispania juan mata dakika ya 40. robin van persea nae alipachika goli la tatu.ushindi huo unaufanya manchester unted kucheza mechi saba bila ya kufungwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni