www.trabicktwalbublogsport.com
TRABICK TWALBU BLOG SPORT.COM
Ijumaa, 19 Desemba 2014
video mwana dar es salam king kiba!!.trabicktwalbublogsport.com
Jumapili, 14 Desemba 2014
Manchester unted ya iadhibu liverpool uk.
Manchester unted ya dhidi kutamba baada kuibuka na ushindi wa goli tatu zid ya mpizan wake livepool.unted imepata ushindi huo kupitia kwa forward wake hatar. wyne roony dakika ya 12 goli la pili lili fungwa na kiungo wa hispania juan mata dakika ya 40. robin van persea nae alipachika goli la tatu.ushindi huo unaufanya manchester unted kucheza mechi saba bila ya kufungwa
Jumamosi, 13 Desemba 2014
simba yaendeleza ubabe!!
trabicktwalbublogsport.comclubu ya simba jiji na dar es salam imeendeleza ubabe zidi ya mtan wake wa jadi young africa marufu kama yanga kwa kuichapa mbili bila katika uwanja wa taifa jiji dar es salamu na simba kuibuka bingwa katika shindana lao la mtani jembe nimara ya pili sasa simba kuwa bingwa katka shindano iko.
Jumanne, 9 Desemba 2014
video mpya ya hosen machozi
Jumapili, 7 Desemba 2014
england leo patam..
ligi kuu nchini england leo
west ham vs swansea 16:30
aston villa vs leicester 19:00
west ham vs swansea 16:30
aston villa vs leicester 19:00
Jumamosi, 6 Desemba 2014
Jumatano, 12 Novemba 2014
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)